23-0122 Nini Kinachovutia Kule Mlimani?

UJUMBE: 65-0725E Nini Kinachovutia Kule Mlimani?

PDF

BranhamTabernacle.org

Mpendwa Bibi-arusi wa Kanisa la Nyumbani,

Hebu sote tukusanyike pamoja kusikiliza Ujumbe 65-0725E Nini Kinachovutia Kule Mlimani? Jumapili hii saa 06:00 SITA MCHANA SAA za Jeffersonville ( ni saa MBILI USIKU ya Tanzania na Kenya pia )

Ndugu. Joseph Branham