Ujume: 64-0830M Maswali na Majibu #3
pakua – amr 19MB (use Firefox to download)
Tai Wapendwa ,
Njoo uungane nasi Jumapili hii saa 6:00 SITA MCHANA , saa za Jeffersonville, ( Ni saa 1:00 MOJA JIONI Ya Tanzania) ili kusikia majibu ya maswali yaliyo moyoni mwako, tunaposikia 64-0830M Maswali Na Majibu #3 .