Ilitumwa: Alhamisi, Desemba 2, 2021
Mnamo Julai mwaka 1964, ndugu aitwaye Gagnon alimwandikia Ndugu Branham kumuuliza ikiwa ilikuwa ni sawa kwake kuhudumia ushirika nyumbani kwake, kwa vile yeye hakuwa mhudumu. Ndugu Branham alijibu kwa kusema, “Ndiyo, Shiriki, huhitaji kuwa mhudumu ili kufanya jambo hilo.”
https://branhamtabernacle.org/en/articles/view/1212021_BrotherBranhamsLetter