UJUMBE: 65-0911 Nguvu Za Mungu Za Kugeuza
Tai Wapendwa , hebu sote tukusanyike pamoja na kusikia Ujumbe 65-0911 Nguvu za Mungu za Kugeuza Jumapili hii saa 8:00 nane Mchana, saa za Jeffersonville.( Ni saa 4:00 nne usiku ya Tanzania).
Ndugu Joseph Branham
Maandiko ya kusoma:
Mwanzo Sura ya 4 yote
Isaya 9:6 / 14:12-14
Mathayo 5:6 / 24:24
Yohana Mtakatifu 1:1
Warumi 12:1-2
2 Wathesalonike 2:3-4
Waebrania 10:26-27
Ufunuo Sura ya 3 yote