UJUMBE: 60-0522E Kufanywa Wana Wenye Mamlaka #4
- 25-0525 Kufanywa Wana Wenye Mamlaka #4
- 21-0711 Kufanywa Wana Wenye Mamlaka #4
- 18-0708 Kufanywa Wana Wenye Mamlaka #4 – Preliminari
- 16-0228E Kufanywa Wana Wenye Mamlaka #4
Tai wanakusanyika Pamoja.
Tai Wapendwa,
Hebu na tukusanyike wote pamoja kusikia Kufanywa Wana Wenye Mamlaka #4 60-0522E Jumapili hii saa 8:00 nane mchana , saa za Jeffersonville.( Ni saa 3:00 tatu usiku ya Tanzania) .
Ndugu Joseph Branham
Maandiko ya kusoma kabla ya Ujumbe:
Waefeso 1: 8-22 / 2: 1 / 4:30
Waebrania 7: 1-3
Mwanzo 14: 18-24
Mathayo Mtakatifu 26: 26-29
Yohana Mtakatifu 17:17
Wagalatia 1: 8
Ayubu sura 38 yote