21-0425 Ivyobo Vyatobotsemwo Imishwena

Ubutumwa: 64-0726e Ivyobo Vyatobotsemwo Imishwena

Kuvoma Ubutumwa

Ibimenyeshejwe Ibimenyeshejwe ku bijanye n’ugusobanura mu zindi ndimi bikorerwa muri Branham Tabernacle

Mpendwa Bibi-arusi Mwaminifu,

Jinsi mioyo yetu ilivyobarikiwa, imani yetu iliinuliwa kwa kiwango kipya, wakati tulipoketi pamoja katika Makao ya Kimbinguni kumsikia Baba akiongea kupitia Mjumbe wake Mkuu kutuambia:

Ninatarajia, na ninaamini, kwamba nitaishi nanyi wakati wote. Ninaamini kuwa hii ndio nafasi fupi zaidi ambayo tuliyo nayo, wakati tunaposimama pamoja kama hivi. Tutakuwa pamoja katika Umilele. Unaona? Ninafanya hivyo. Na — ni — ninaamini hilo .

Tunaamini jambo hilo na tunategemea jambo hilo kwa mioyo yetu yote.

Tunayo nguzo ya Moto, Nabii, na Mana iliyofichwa kutuongoza kwenda kwenye Nchi ya Ahadi. Tumekuwa tukitiwa nguvu na Maji yaliyo Hai ambayo hayana vifurukuta_mikia, hayana chujio la matambara, ni Maji safi tu ya kisima kinachofoka maji ya Uzima. Kuna SEHEMU MOJA TU PEKEE unayoweza kupata Maji haya, BONYEZA PLAY.

Hebu na tukutane Jumapili saa 8:00 mchana, Saa ya Jeffersonville (ni Saa 3:00 usiku ya tanzania ), kusikia: Mabirika Yavujayo 64-0726E, na tunywe, na tunywe, na tunywe kutoka kwenye Kisima hicho, anapojaza kikombe chetu mpaka kinafurika.

Ndugu. Joseph