25-0629 Kujaribu Kumtumikia Mungu Bila ya Kuwa Ni Mapenzi ya Mungu

UJUMBE: 65-1127B Kujaribu Kumtumikia Mungu Bila ya Kuwa Ni Mapenzi ya Mungu

PDF

BranhamTabernacle.org

Mpendwa Bibi-arusi wa Kristo, hebu na tukusanyike pamoja Jumapili saa 6:00 MCHANA, saa za Jeffersonville,(Ni Saa 1:00 JIONI ya Afrika Mashariki) kusikia  
65-1127B – Kujaribu Kumtumikia Mungu Bila Ya Kuwa Ni Mapenzi ya Mungu.

Ndugu. Joseph Branham